Katika kuhakikisha miradi ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini inakamilika kwa wakati,Bodi ya DAWASA imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi na ulazaji wa mabomba katika mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini inayotekelezwa chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka katika mkoa wa Dar es Salaam na Miji ya mkoa wa Pwani.

IMG-20160915-WA0016

Wajumbe wa Bodi ya DAWASA wakiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maji inayosimamiwa na DAWASA

IMG-20160915-WA0015

Wajumbe wa Bodi ya DAWASA wakikagua sehemu ya ujenzi wa mtambo wa Ruvu Juu