Photo Gallery

 • Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Eng. Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. K. Mkumbo

  Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo kuhusu ulazaji wa mabomba yatakayosafirisha huduma ya maji kutokea Kibamba hadi Wilaya ya Kisarawe.

  Posted On : June, 07, 2019

 • May Mos

  Wafanyakazi wa DAWASA wakishiriki katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam. #MayDa

  Posted On : May, 01, 2019

 • Slide Show

  DAWASA Slide Show

  Posted On : April, 16, 2019

 • Site visit of Prime Minister

  Ziara ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uzinduzi wa maonyesho ya wiki ya viwanda ambapo alitembelea katika banda la DAWASA nakujionea kazi mbalimbali zinazotekelezwa na DAWASA.

  Posted On : January, 15, 2019