Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof.Kitila Mkumbo amefanya ziara ya kikazi katika Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar es Salaam(DAWASA) na kutoa maelekezo kufanya kazi kwa bidii kutatua kero ya uhaba wa maji katika Jiji la Dar es Salaam na Miji ya Mkoa wa Pwani.

DSC_0398