8x12 (1)                                                                   Mhandisi Romanus Mwang’ingo

Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi DAWASA,Mhandisi Romanus Mwang’ingo ametunukiwa cheti cha Mfanyakazi Bora wa Mwaka katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Dodoma.Mgeni rasmi wa sherehe za Mei Mosi kitaifa alikuwa Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuri