Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji ,Mhe.Prof.Makame Mbarawa amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya uchimbaji wa visima virefu katika eneo la Kimbiji. Taarifa kamili ya mradi huu i
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam na Miji ya Mkoa wa Pwani(DAWASA) imetoa gawio la mapato yake kwa mwaka 2016/2017 ikiwa ndiyo mamlaka pekee nchini kuoa gawio la map
Taarifa kwa umma na vyombo vya habari
  DAWASA hereby invites consultants to show their interest in delivering the services described above.
DAWASA inapenda kuutaarifu umma na wakazi wa Jiji la Dar es Salaam juu ya maendeleo ya usambazaji na ulazaji wa mtandao wa mabomba ya maji katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar  es Sa
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam na Pwani(DAWASA) imejipanga kutekeleza mradi wa maji katika eneo la uwekezaji wa viwanda mkoani Pwani. Soma taarifa kwa umma hapa chini
Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Mkoa wa Dar es Salaam(DAWASA) inapenda kuutarifu umma na hususani wakazi wa wilaya ya Kisarawe,Pwani kuwa leo kutakuwa na hafla ya kusaini mkataba wa k
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani(DAWASA) inapenda kutoa taarifa kwa umma juu ya utekelezaji wa mradi wa maji katika eneo la Majimatitu na Lumbanga k

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Dar es Salaam na Miji ya Pwani(DAWASA) inapenda kutoa taarifa ya utekelezaji wa mraji wa maji katika wilaya ya Kisarawe.

 

Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam(DAWASA) inapenda kutoa taarifa za maendeleo ya miradi ya maji na hatua mbalimbali za utekelezaji.Fungu hapa chini ili kupata taarifa z