Mamlamka ya Majisafi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam inapenda kumpongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania ,Dkt.John Pombe Magufuri kwa kuimarisha huduma za maji katika Mkoa wa Dar es Salaam.Miradi ya Ruvu Juu na Ruvu Chini imekamilika nakuongeza uzalishaji wa maji ambao umesaidia kuondoa kero ya maji kwa kiasi kikubwa.