News & Events

Katika kuhakikisha miradi ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini inakamilika kwa wakati,Bodi ya DAWASA imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi na ulazaji wa mabomba katika mitambo ya maji ya Ruvu Juu na Ruvu Chini inayotekelezwa chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka katika mkoa wa Dar es Salaam na Miji ya mkoa wa Pwani.

IMG-20160915-WA0016

Wajumbe wa Bodi ya DAWASA wakiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maji inayosimamiwa na DAWASA

IMG-20160915-WA0015

Wajumbe wa Bodi ya DAWASA wakikagua sehemu ya ujenzi wa mtambo wa Ruvu Juu

Katika kudumisha usafi wa mazingira,Wafanyakazi wa DAWASA wamekuwa wakishiriki kikamilifu kufanya usafi wa mazingira katika ofiza za Mamlaka na baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam na Miji ya Mkoa wa Pwani ¬†kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi kama inavyoonyeshwa kwenye picha hapa chini.Kauli mbiu yetu ” Maji ni Uhai ,Usafi ni Utu”

20160625_094311

Sehemu ya Wafanyakazi wa DAWASA wakifanya usafi wa Mazingira katika makao makuu ya mamlaka ya Majisafi na Majitaka-DAWASA

IMG-20160625-WA0032 (1)

Picha ya Wafanyakazi wa DAWASA baada ya kufanya usafi wa mazingira

DSC02699

Wafanyakazi wa DAWASA wakifanya usafi katika soko la mji wa Bagamoyo