Mamlaka ya Majisafi na Majitaka katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani(DAWASA) inapenda kutoa taarifa kwa umma juu ya utekelezaji wa mradi wa maji katika eneo la Majimatitu na Lumbanga katika manispaa ya Temeke. Bonyeza hapa chini kusoma taarifa yote: