Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maji kwa Ushirikiano

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muda mrefu imekuwa ikishirikiana na Serikali ya India, katika kuchangia maendeleo ya nchi katika nyanja mbalimbali