Wafanyakazi wakishiriki usafi wa mazingira kila mwisho wa mwezi

Katika kudumisha usafi wa mazingira,Wafanyakazi wa DAWASA wamekuwa wakishiriki kikamilifu kufanya usafi wa mazingira katika ofiza za Mamlaka na baadhi ya maeneo ya miji katika Jiji la Dar es Salaam na mkoa wa Pwani