Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA wamefanya ziara ya kukagua shughuli za uchimbaji visima vya Mpiji na Mpera vilivyopo eneo la Mkuranga mkoa wa Pwani.Wajumbe wameridhishwa na kasi ya uchimbaji visima hivyo ambavyo vitasaidia uzalishaji wa maji katika eneo la Mkuranga na Wilaya ya Temeke pindi vitakapo kamilika.

 

Visima vya Mpiji na Mpera
Uchimbaji wa visima virefu katika eneo la Mpji na Mpera 
Kisima cha maji
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA ,Mhandisi Romanus Mwang'ingo akitoa maelezo ya uchimbaji wa kisima cha Mpera-Mkuranga
Mjumbe wa BODI
Mjumbe wa Bodi ya DAWASA ,akikagua maji ya kisima cha Mpiji 
CLM
Meneja Uhusiano kwa Jamii -DAWASA,Bi.Neli Msuya akinywa maji ya kisima cha Mpera