Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Inj.Gerson Lwenge ,amefanya ziara ya kukagua upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu ambao umekamilika na umeshaanza kuzalisha maji ili kuondoa kero ya maji katika Jiji la Dar es Salaam na Miji ya mkoa wa Pwani

20160708_121549_004

Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhe.Inj.Gerson Lwenge (wa pili kulia) akimsikiliza mkandarasi mkuu kutoka kampuni ya MS.VA TECH WABAG(India)

dts

Mkurugenzi wa Ufundi kutoka DAWASA ,Inj.Romanus Mwang’ingo akielezea namna ya utekelezaji wa upanuzi wa mtambo wa Ruvu Juu na ulazaji wa mtandao wa mabomba katika eneo la Kibamba na Kimara