Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji,Inj.Mbogo Futakamba amefanya ziara ya kukagua ujenzi na ukarabati wa Mtambo wa kuzalisha maji wa RUVU CHINI .Picha za hapa chini ni Matenki makuu yalipo eneo la Ardhi University.

IMG_0375

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji(katikati),Inj.Mbogo Futakamba

Ukaguzi ndani ya Matenki Makuu yaliyopo Ardhi University

Ukaguzi ndani ya Matenki Makuu yaliyopo Ardhi University wakiongozwa na Afisa Mtendai Mkuu wa DAWASCO,Inj.Cyprian Luhemeja