BILI ZA MAJI KWA MWEZI MACHI, 2025 ZIMETOKA
18 Mar, 2025
Pakua

BILI ZA MAJI KWA MWEZI MACHI, 2025 ZIMETOKA
DAWASA inakukumbusha wateja kulipia bili mapema na kwa wakati kupitia njia zifuatazo;
NJIA ZA MALIPO KWA SIMU - Mpesa, Airtel Money, Mixx by Yas, T-pesa na Halopesa
NJIA ZA MALIPO KWA BENKI - CRDB Bank, NMB, NBC, Azania Bank, ABSA, Stanbic Bank na TCB