UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA KAWE
01 Jul, 2024
Pakua
UFAHAMU MKOA WA KIHUDUMA DAWASA KAWE
Ofisi ya kihuduma DAWASA Kawe inapatikana eneo la Kawe kata ya Kawe karibu na Kawe Traffic Light Adjucent Lugalo JWTZ.
DAWASA Kawe inahudumia wakazi takribani 24,097 katika kata 6 ambazo ni Sinza, Mikocheni, Kijitonyama, Kawe, Mbezi Juu na Goba.
Wasiliana nasi
Huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) au Huduma kwa wateja DAWASA Kawe 0735 451 861