USIKOSE KUANGALIA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA
20 Mar, 2025
Pakua

USIKOSE KUANGALIA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA
Tarehe: 20 Machi, 2025
Muda: Saa 4 Usiku - Saa 5 Usiku
MADA: Maadhimisho ya Wiki ya Maji na Upatikanaji wa Huduma ya Maji Nchini.
WAZUNGUMZAJI: Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri