Frequently Asked Questions

DAWASA ni Mamlaka ya Maji yenye jukumu la kutoa Huduma ya Majisafi na uwondoshaji wa Majitaka ndani ya Jiji la Dar es Salaam pembezoni mwa Pwani. Dawasco ni shirika la usambazaji na usimamizi wa huduma ya Majisafi na uondoshaji wa Majitaka.

Gharama ya uniti 1 ni shilingi 1663. Kuanzia uniti 1 mpaka 5 mteja anachajiwa shilingi 1106 kwa uniti kutoka uniti 5 na kuendelea uniti