Mbunge wa Kibamba Mhe. Issa Mtemvu akipata maelezo ya utekelezaji wa mradi kutoka kwa meneja wa DAWASA Ubungo Gilbert Massawe unaotekelezwa na DAWASA kupitia fedha za ndani.