Mradi wa maji wa Kisarawe - Pugu - Gongo la Mboto unatekelezwa na Mamlaka ya majisafi na Usafi wa mazingira Dar es Salaam DAWASA