TAARIFA KWA WAKAZI WA BAGAMOYO HADI MAPINGA MATENGENEZO YA DHARULA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI
TAARIFA KWA WAKAZI WA BAGAMOYO HADI MAPINGA
MATENGENEZO YA DHARULA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI
11.7.2026
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)inawataarifu Wananchi na Wateja wa maeneo ya Bagamoyo hadi Mapinga kuwa kutakuwa na ukosefu wa huduma ya majisafi kwa muda wa saa 12
Muda na Tarehe: Jumamosi, Julai 11, 2026 kuanzia saa 12:00 Jioni hadi siku ya Jumapili, Julai 12,2026 Saa 12:00 Asubuhi.
Sababu Kuruhusu Matengenezo ya Dharura ya miundombinu ya Maji.
Maeneo yatakayoathirika ni;
Sanzale, Bagamoyo Mjini, Ukuni, Kimara Ng’ombe, Kidongo Chekundu, Kigongoni, Hospitali ya Wilaya Bagamoyo, Magomeni, Majengo, Nia Njema na Bagamoyo Maeneo ya Hoteli, Kerege CCM, Chatembo, Kerege Shule, Mapinga, Mapinga Shule, Kwa Kiwete, Kwa Njwaba, Kwa Mtalemwa, Amani, Simba Motors, Vikawe na Tenda Neno
Mamlaka inaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
Wasiliana nasi:
Kituo cha huduma kwa Wateja 181 (Bila malipo) na 0735 202121 (Whatsapp tu).
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano
