Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA MUHIMU - MATENGENEZO YA DHARULA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI KINONDONI HADI KATIKATI YA MJI
22 Jul, 2026 Pakua

TAARIFA MUHIMU

MATENGENEZO YA DHARULA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI KINONDONI HADI KATIKATI YA MJI

11.7.2026

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawataarifu Wananchi na Wateja  wa maeneo ya Mwenge hadi Mnazi Mmoja kuwa kutakuwa na ukosefu wa huduma ya majisafi kwa muda wa saa 10

Muda na Tarehe: Jumamosi, Julai 11, 2026 kuanzia saa 4:00 Usiku hadi siku ya Jumapili, Julai 12, 2026 Saa 2:00 Asubuhi.

Sababu Kuruhusu Matengenezo ya Dharura ya bomba kubwa la inch 54 lililopasuliwa wakati wa ujenzi wa Barabara BRT4.

Maeneo yatakayoathirika ni;
Mlalakuwa, Kinondoni yote, Mikocheni, Oysterbay,Masaki, Muhimbili, Magomeni, Jangwani, Mjini kati, Nkurumah, Mnazi Mmoja.

Mamlaka inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. 

Wasiliana nasi:
Kituo cha huduma kwa Wateja 181 (Bila malipo) na 0735 202121 (Whatsapp tu). 

Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano